Wasiliana Nasi

Maswali, Maoni? Tuambie, Tunasikiliza.

Email: sales@tucheki .com

Msaada wa haraka: +255 759 61 27 61,
Jumatatu hadi Jumamosi – 6:00 am to 12:00 pm
Jumapili – 10:00 am to 5:00 pm

Huduma ya Haraka? Tupigie.

+255 759 61 27 61

Andika hapa juu ili watu wetu wa masoko wakusaidie kirahisi.

Maswali na Majibu.

Tucheki siku zote tunasema, mteja anapewa nafasi ya kwanza katika kumjali na kumpa anachotaka kwa wakati ulio jawa ana ukweli.

Tucheki siku zote tunaweka namna rahisi ya kufanya malipo. M-Pesa ni njia rahisi na iliyohakikishwa na iliyofanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kufanya malipo ya kibiashara. Na pia malipo ya Benki yanaruhusiwa kupitiwa tovuti yetu ya nunuatz.com.

Tucheki dot come kwa sasa tunafanya biashara ndani ya mipaka aya nchi ya Tanzania tu, sambamba na hayo ipo kazi inafanywa katika kuhakiksha biashara nje ya mipaka ya Tanzania itawafikia na katika kiwango cha ubora unaohitaji na mteja.

Kwa sasa tunafanya biashara na mikoa yote ndani ya Tanzania.

Moja kati ya mpango kazi katika kuhakikisha nunuatz.com inakuwa msaada kwa watu wengi, ni katika kuhakiksha tunawafikia watu wote wanaozungumza kiswahili na kiswahili ndiyo lugha yao asili na wangependa kupata huduma kwa lugha yao. Tucheki tumekuwa wa kwanza kuwa na tovuti ya kibiashara ambayo inatumia lugha ya kiswahili kwa wateja wote amabko kiswahili kinazungumzwa.

Tunasafirisha Tanzania Nzima

Tunasafirisha bidha zetu kwa mikoa yote ndani ya Tanzania.

Bidhaa Zilizo bora

Ubora wa Bidhaa zetu ni wa kuaminika warrant hadi mwaka mmoja.

Ofa Nzuri

Pata Punguzo la Bei kwa ubora ule ule unaostaili.

Malipo Salama

Namna rahisi ya kufanya malipo salama kwa kutumia M-Pesa.